Pongezi Kubwa kwa Iva Melody!
​Pongezi kubwa kwa Iva Melody kwa wimbo mzuri wa "Napendwa" unaofanya vizuri na kuingizwa kwenye orodha rasmi ya nyimbo za Bongo Rising! Kazi yako ngumu na kipaji chako cha kipekee vinang'aa kweli kweli.
​Wimbo huu mzuri unapromotiwa kwa fahari na NEHE-STRAT.
​Fanya Kazi Nasi:
​Tuna utaalam wa kuinua muziki na kazi za wasanii hadi ngazi inayofuata.
​Tembelea tovuti yetu leo katika www.nehestrat.com kuwasilisha muziki wako na tushirikiane pamoja kuinua ubora wa sauti yako!