🎉Hongera Kally Wid! 🎶

Wimbo wako umefanikiwa kufikisha zaidi ya streams 11,000 ndani ya wiki moja kwenye Spotify. Hii ni hatua kubwa na ishara kwamba muziki wako unaendelea kuwafikia wasikilizaji wengi.

Mafanikio haya yamechangiwa na kampeni ya promosheni iliyofanywa na NEHE-STRAT.

Asante kwa kuendelea kutuamini. Tunaendelea kusukuma muziki wako ufikie viwango vikubwa zaidi. 🚀🔥

Kally Wid (Uganda 🇺🇬)

Spotify Screenshot 


Congratulations, Kally Wid 🎶

Your song has surpassed 11,000 streams in just one week on Spotify—an incredible achievement!

This success was supported by a promotional campaign carried out by NEHE-STRAT.

Thank you for trusting us with your music. We're excited to keep helping your music reach even greater heights. 🚀🔥